1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

India

India ni nchi ya saba kwa ukubwa duniani, ni ni ya pili kwa wingi wa idadi ya watu duniani. Baada ya kupitishwa mageuzi ya kibiashara, India imeweza kuwa nchi yenye viwanda.

Jamhuri ya India ilikuwa ni moja ya nchi za mwanzo kuondoa uhasama na Ujerumani, uliotokana na vita vya pili vya dunia. Na baada ya vita hivyo India haikuwa miongoni mwa nchi zilizodai fidia ya vita, ingawa ilipoteza zaidi ya wanajeshi 24,000 waliokuwa wakilitumikia jeshi la Kiingereza lilokuwa likipambana na jeshi la Wanazi la Ujerumani wakati wa vita hivyo. India iliendeleza mahusiano ya kidiplomasia na pande zote mbili za Ujerumani; Ujerumani ya Magharibi na Ujerumani. Na wamka 1990 pande hizo mbili zilipoungana tena India ilikuwa miongoni mwa nchi zilizowaunga mkono.

Onesha makala zaidi