NAIROBI: Wanachama wa Mungiki wasakwa na polisi | Habari za Ulimwengu | DW | 08.06.2007
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Habari za Ulimwengu

NAIROBI: Wanachama wa Mungiki wasakwa na polisi

Polisi nchini Kenya wamesaka nyumba moja moja katika kitongoji cha mji mkuu Nairobi na wameuawa hadi watu 11 katika msako huo.Kwa siku ya tatu kwa mfululizo,polisi waliendelea na msako huo kwa azma ya kuwakamata wafuasi wa kundi la Mungiki. Serikali inalilaumu kundi hilo kuhusika na wimbi la mauaji nchini humo.

Sikiliza Matangazo Yetu

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com