NAIROBI: Mvua kubwa zimesababisha mafuriko Afrika Mashariki | Habari za Ulimwengu | DW | 04.12.2006
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Habari za Ulimwengu

NAIROBI: Mvua kubwa zimesababisha mafuriko Afrika Mashariki

Mafuriko mabaya kabisa kupata kutokea tangu miaka kadhaa,yameuwa hadi watu 150 katika nchi za Afrika ya Mashariki.Mamilioni ya watu pia wamepoteza makazi yao.Wafanyakazi wa mashirika yanayotoa misaada wanasema Somalia,Ethiopia,Kenya na Rwanda zimeathirika vibaya kwa mvua kubwa zilizonyesha na kusababisha mafuriko majuma ya hivi karibuni.Ripoti zinasema,zaidi ya watu 100 wamepoteza maisha yao nchini Somalia peke yake.

Matangazo

Sikiliza Matangazo Yetu

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com