MONUC nchini DRC yataka uchunguzi kuhusu ushirikiano na kiongozi wa waasi Laurent Nkunda | Matukio ya Kisiasa | DW | 11.07.2008
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages
Matangazo

Matukio ya Kisiasa

MONUC nchini DRC yataka uchunguzi kuhusu ushirikiano na kiongozi wa waasi Laurent Nkunda

Tume ya kulinda amani ya umoja wa mataifa nchini DRC Monuc imehakikisha ushirikiano na ungwaji mkono wa afisa wake kwa kiongozi wa waasi wa mashariki mwa nchi hiyo Laurent NKUNDA.

Laurent Nkunda kiongozi wa Waasi wa CNDP

Laurent Nkunda kiongozi wa Waasi wa CNDP

Monuc imeanzisha uchunguzi wa dhati kufuatia madai hayo.MONUC imelaumu hali hiyo ambayo inaharibu sifa ya umoja huo na kusema kuwa uhusiano huo hauihusishi kamwe.

Taarifa kamili na mwandishi wetu Saleh Mwanamilongo

Matangazo

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com