1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Allied Democratic Forces

Allied Democratic Forces (ADF) ni kundi la waasi wa Kiislamu lenye chimbuko lake nchini Uganda lakini kwa sasa limejichimbia mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo.

Kundi hilo lilianzisha uasi kwa lengo la kuung’oa utawala wa rais Yoweri Museveni mnamo miaka ya 1990 lakini ulifurushwa na kuingia DRC. ADF imeendesha vita vya kikatili dhidi ya wakaazi wa Kongo Mashariki na linatajwa kuwa kundi la kigaidi na Umoja wa Mataifa. Kiongozi wake Alilabaki Jamilu Mukulu alikamatwa nchini Tanzania mwaka 2015 na kukabidhiwa kwa serikali ya Uganda ambako anashtakiwa kwa makosa kadhaa yanayohusiana na uhalifu wa kivita. Katika ukurasa tunakukusanyia utapata maudhui za karibuni za DW kuhusu ADF

Onesha makala zaidi