You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Sauti zetu
Vidio zetu
Yanayoangaziwa
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Kivuli cha Ukoloni wa Ujerumani
Matangazo
Allied Democratic Forces
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Uganda yapoteza takriban dola bilioni 2.5 kwa ufisadi
Ufisadi ni suala kubwa katika taifa hilo ambalo liorodheshwa katika orodha ya chini ya 141 kati ya 180.
Macron atoa wito kwa Rwanda, waasi wa M23 kuondoka DRC
Rais Emmanuel Macron atoa wito vikosi vya Rwanda na waasi wa M23 kuondoka mashariki mwa DR Congo,
Uganda yasaka ufadhili wa kuzalisha megawati 1,600 za umeme
Uganda inasaka ufadhili wa ujenzi wa mitambo mitatu ya kuzalisha umeme wa nyongeza wa maji wa zaidi ya megawati 1,600.
Hezbollah yaahidi kulipiza kisasi baada ya kuuliwa Nasrallah
Matamshi hayo imeyatoa baada ya kuthibitisha kifo cha kiongozi wake Hassan Nassrallah aliyeuliwa na jeshi la Israel.
Jeshi la Kongo lawasaka waasi wa FDLR mkoani Kivu Kaskazini
Jeshi la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo limeanzisha msako dhidi ya waasi wa Rwanda wa FDLR huko mashariki mwa Kongo.
Tshisekedi: Rwanda iwekewe vikwazo kwa kuwaunga mkono M23
Katika hotuba yake, Tshisekedi imeituhumu Rwanda kuhusika katika ghasia za Mashariki mwa Kongo.
Mtoto wa Museveni asema hatowania urais 2026
Museveni mwenyewe bado hajatangaza iwapo atawania muhuka wa 7 madarakani ifikapo 2026.
Netanyahu aapa kulipa kisasi dhidi ya Wahouthi
Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu ameapa kutoa adhabu kali dhidi ya waasi wa Kihouthi
Mashahidi wa Uganda warejeshwa miaka 140 baada ya kuuawa
Mafuvu yaliorejeshwa ni pamoja na ya Matia Mulumba, na Charles Lwanga pamoja na minyororo iliyotumiwa kuwafunga.
Kina Mama wasioweza kunyonyesha wapata msaada Uganda
Baadhi ya kina mama wanashindwa kuwanyonyesha watoto wao. Lakini mjini Kampala, Uganda kundi la kina mama wanaochangia maziwa yao wanawasaidia wale wasiokuwa na maziwa na pia kuvunja miko ya kutochangia maziwa ya Mama.
Serikali, waasi nchini Colombia kurejea mezani kusaka amani
Serikali ya Colombia na kundi kubwa la wapiganaji wa msituni wametangaza watarejea kwenye meza ya mazungumzo.
Mwanariadha wa olimpiki Mganda afariki baada ya kuunguzwa
Rebecca Cheptegei alimuagiwa petroli na mpenzi na kisha kumuasha moto, kutokana na mzozo juu ya kipande cha ardhi.
Benki ya Dunia, Ufaransa kuikopesha Uganda dola milioni 600
Dola milioni 566 ni mkopo kutoka Benki ya Dunia na dola milioni 42.7 zitatolewa na AFD.
Uganda na DR Congo yaunda kamati kushughulikia mipaka
Kamati ya Pamoja ya Kiufundi kati ya DRC na Uganda ya kurekebisha mipaka ya pamoja kati ya nchi hizo mbili imezinduliwa.
Mwanariadha wa Uganda afariki baada ya mpenzi kumchoma moto
Madaktari na maafisa wa riadha wamesema Rebecca Cheptegei, amefariki siku nne baada ya kuchomwa moto na mpenzi wake.
Bobi Wine aruhusiwa kutoka hospitalini baada ya kujeruhiwa
Mkosoaji huyo mkuu wa Rais Yoweri Museveni alijeruhiwa katika makabiliano na Polisi siku ya Jumanne mjini Bulindo.
Bobi Wine kupasuliwa baada ya kujeruhiwa mguuni
Bobi Wine amelazwa hospitalini anakotarajiwa kufanyiwa upasuaji kwenye mguu wake uliojeruhiwa.
Bobi Wine kupasuliwa baada ya kupigwa risasi na polisi
Robert Kyagulanyi Ssentamu almaarufu Bobi Wine alijeruhiwa mguuni na kile kinachodaiwa kuwa risasi na askari polisi.
04.09.2024 Taarifa ya Habari ya Asubuhi
China na Nigeria kuhimiza ushirikiano katika masuala ya fedha. Umoja wa Ulaya waikosoa Mongolia kwa kutomkamata rais wa Urusi, Vladimir Putin. Na Kiongozi wa upinzani nchini Uganda Bobi Wine apigwa risasi na kujeruhiwa mguuni.
Meli mbili zashambuliwa nje ya eneo la Wahouthi
Hakuna uhabifu mkubwa uliotokea wala maafa au majeruhai.
Kongo yawazika watu 200 waliouwawa vitani na M23
Serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo imefanya mazishi ya watu 200 waliofariki dunia katika vita.
Uganda yatangaza kusambaa homa ya nyani
Uganda imetangaza ugonjwa wa mpox kusambaa kila sehemu katika taifa hilo na kuwata wananchi kutoa taarifa za wagonjwa.
Pakistan yaanzisha operesheni dhidi ya waasi wa Balochistan
Jeshi la Pakistan laanzisha operesheni dhidi ya waasi wa Balochistan.
Janga la Mpox kuongeza mzigo wa gharama kwa nchi za Afrika
Maambukizi ya Mpox yalilipuka katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na kuenea kwenye nchi jirani za Afrika.
Mwanamke machinga mpambanaji
Night Ampurire ni mkaazi wa Entebbe Uganda. Ana mtoto mchanga ila hilo halimzuii kupambana ili kuhakikisha kwamba anachangia sehemu yake ya kipato nyumbani kwake. Matikiti maji ndiyo biashara yake licha ya gari lake kuukuu.
Mahakama Uganda yamhukumu mwanachama wa IS miaka 10 jela
Mtu huyo anahusishwa na tukio la jaribio la shambulio la kigaidi katika shughuli ya mazishi ya kamanda mwandamizi.
Wanaharakati wanaopinga mradi wa mafuta Uganda wakamatwa
Wanaharakati wa kutetea mazingira wameeleza kuwa mradi huo wa mafuta una athari hasi kwa jamii na mazingira.
Uganda yaripoti visa vingine viwili vya Mpox
Shirika la afya duniani WHO lilitangaza mripuko wa hivi karibuni wa Mpox kuwa dharura ya afya ya umma.
Pikipiki za bodaboda Uganda zatoa ajira na vurugu barabarani
Mamala zinajaribu kukabiliana na uendeshaji hatari na wa kinyume cha sheria wa pikipiki za bodaboda nchini Uganda
Mkutano kati ya Kongo na Rwanda wamalizika bila makubaliano
Mkutano wa mawaziri wa mambo ya nchi za nje wa Jamhuri ya kidemokrasia ya Kongo na Rwanda umemalizika huko Angola bila ya makubaliano. Kikao kingine kitafanyika mwezi ujao chini ya rais wa Angola João Lourenço, aliyechaguliwa na Umoja wa Afrika kusaidia kutafuta amani ya Mashariki DRC. Kulikoni? Onesphore Sematumba mchambuzi wa masuala ya Kongo alizungumza nasi.
Ujerumani kusaidia kubaini visa vya Mpox nchini Kongo
Visa vya mpox na vifo vinaongezeka barani Afrika, ambako milipuko imeripotiwa Kongo, Burundi, Kenya, Rwanda na Uganda.
Wanakijiji 16 wauawa na wengine 20 kutekwa nyara, Kongo
ADF imekuwa ikifanya mashambulizi yanayoongezeka mashariki mwa Kongo.
Karibu wanajeshi 15 wauawa nchini Mali
Mali imegubikwa na mashambulizi ya jihadi na makundi mengine yenye silaha kwa zaidi ya muongo mmoja.
Uganda yawarejesha polisi wa Kongo waliokimbia mapigano
Waasi wa M23 wamesababisha raia wengi kuyakimbia makazi yao kutokana na mapigano kati yao na jeshi la Kongo.
Mkasa wa kuporomoka kwa jaa la taka, Kampala
Miili ya watu 24 imeopolewa tangu kulipotokea mkasa wa kuporomoka kwa jaa la taka katika mtaa mmoja jijini Kampala, Uganda mwishoni mwa wiki. Lakini wakaazi wanasema kuna maiti nyingi bado zimekwama chini ya taka hizo.
Kamanda wa zamani wa LRA atiwa hatiani kwa uhalifu Uganda
Thomas Kwoyelo alitiwa hatiani kwa makosa 44 yakiwemo mauaji, ubakaji na utekaji nyara.
Kamanda wa zamani wa LRA hatiani uhalifu wa kivita Uganda
Kamanda wa zamani wa kundi la waasi la LRA, Thomas Kwoyelo, ametiwa hatiani kwa makosa kadhaa ya uhalifu wa kivita.
Waasi wa Kihouthi Yemen waziteka afisi za Umoja wa Mataifa
Waasi wa Kihouthi wameyavamia makao makuu ya afisi za Shirika la Umoja wa Mataifa katika Mji Mkuu Sanaa.
Mahakama Uganda kutoa hukumu dhidi ya Thomas Kwoyelo
Kwoyelo ndiye mwanajeshi wa kwanza na wa pekee wa kundi la LRA kufunguliwa mashtaka ya uhalifu wa kivita.
Kagame: Amani ya kikanda ni kipaumbele cha Rwanda
Rais Paul Kagame wa Rwanda amesema amani ya kikanda ni "kipaumbele chake" wakati anapoanza muhula mwingine wa uongozi.
Jaa la taka laporomoka Kampala na kuuwa watu 23
Kuligana na taarifa za serikali na shirika la Msalaba Mwekundu hadi watu elfu mbili wameathirika kutokana na mkasa huo.
Watu wasiopungua 18 wauawa katika maporomoko ya taka Uganda
Dampo kubwa la taka limeporomoka katika mji mkuu wa Uganda, Kampala, na kusababisha vifo vya watu wasopungua 18.
Watu 10 wauawa katika shambulio la ADF mashariki mwa Kongo
Chifu wa eneo hilo Leon Siviwe amethibitisha vifo vya watu hao, wakiwemo wanaume na wanawake.
Kiongozi wa waasi Kongo ahukumiwa kifo
Korti ya kijeshi nchini Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo, imemhukumu adhabu ya kifo kiongozi wa kundi la waasi la Congo R
Tshisekedi amshutumu Kabila kuunga mkono waasi
Muungano huo unadaiwa kuwa vuguvugu la kisaisa na kijeshi ulioanzishwa mwezi Desemba unaojulikana kama AFC.
Uganda yashinda medali ya fedha katika Olimpiki
Uganda tayari imeshinda medali ya dhahabu kupitia mkimbiaji Joshua Cheptegei katika mbio za mita 10,000 za wanaume.
Asasi za kiraia zapambana na ugaidi licha ya kushutumiwa
Asasi za kiraia za kusini mwa jangwa la Sahara zinachangia kupambana na ufadhili wa ugaidi licha ya zenyewe kutuhumiwa.
Maafisa wa polisi wa Kongo wakimbilia nchini Uganda
Takriban wakimbizi 2500 wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo wamekimbilia Uganda siku nne zilizopita.
Maafisa 100 wa polisi ya DRC wakimbilia Uganda
Msemaji wa jeshi la Uganda amesema maafisa 100 wa polisi wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo wamekimbiliaUganda.
Waasi wa M23 wanaudhibiti mji mkubwa nchini DRC
Waasi wa M23 wanaudhibiti mji mkubwa nchini DRC
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 1 wa 54
Ukurasa unaofuatia