Kwenye matangazo yetu leo mchana: Rais wa Marekani Donald Trump na mwenziwe wa Urusi Vladimir Putin wasema nguvu za kijeshi sio suluhisho la Syria. Mkataba wa biashara huru wa nchi za Asia na Pacific kuendelea bila ya Marekani. Lebanon yamtaka waziri wake mkuu Saad al Hariri arejee nyumbani.