1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Matangazo ya asubuhi 07.04.2018

Yusra Buwayhid
7 Aprili 2018

Rais Donald Trump alijaribu katika mkutano wa kilele ulioitishwa Mar-a-Lago, kumlainisha kwanza rais wa China, Xi Jinping kwa maneno matamui. Miaka15 iliyopita utawala wa Saddam Hussein uliangushwa lakini raia wa Iraq wanajutia. Warohingya 150,000 bado wanaishi kaskazini mwa jimbo la Rakhinem, Myanmra lakini mashirika ya haki za binaadamu yanasema, wengi wanakabiliwa na njaa na hofu.

https://p.dw.com/p/2vdwG