1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Rohingya

Jamii ya Rohingya, ni watu wasio na utaifa kutoka jimbo la Rakhine nchini Myanmar. Kuna takribani Warohingya milioni moja waliokuwa wanaishi Myanmar kabla ya mgogoro wa mwaka 2018-2017.

Warohingya walio wengi ni Waislamu na wachache ni Wahindu. Wakielezwa mwaka 2013 na Umoja wa Mataifa kama jamii ya wachache ilioteswa zaidi duniani, Warohingya wananyimwa uraia chini ya sheria ya uraia ya Myanmar ya mwaka 1982. Licha ya historia ya Jamii hiyo kutambuliwa kuanzia karne ya 8, sheria ya Myanmar haiitambui kama mmoja ya makabila manane ya taifa hilo.

Onesha makala zaidi