1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Xi Jinping

Xi Jinping ndiye Katibu Mkuu wa Chama cha Kikomunisti cha China, Rais wa Jamhuri ya watu wa China na Mwenyekiti wa Kamisheni kuu ya kijeshi.

Mtoto huyo wa veterani wa kikomunisti Xi Zhongxun, alipanda ngazi za kisiasa katika mikoa ya pwani ya China. Alikuwa gavana wa mkoa wa Fujian kati ya mwaka 1999 na 2002 na kisha gavana na katibu wa chama katika mkoa jirani wa Zhejiang kati ya mwaka 2002 na 2007. Kufuatia kutimuliwa kwa Chen Liyangyu, Xi alihamishiwa Shanghai kama Katibu wa chama kwa kipindi kifupi mwaka 2007. Alijiunga na kamati ya uongozi pamoja na sekriteriat kuu Oktoba 2007 na alikuwa mrithi wa Hu Jintao. Alikuwa makamu wa rais kuazia 2008 hadi 2013.

Onesha makala zaidi