Mahojiano na Mkurugenzi Mtendaji Bibi Joyce Mhaville wa Radio One na ITV
12 Septemba 2007Matangazo
Bibi huyo ni mojawapo wa wanawake aliyefanikiwa kupanda katika ngazi za uongozi wa mashirika yanayotajika nchini mwake.
Baada ya kuzitembelea shughuli tunazozifanya sisi hapa Bonn, katika Deutsche Welle, Othman Miraji alizungumza naye na kwanza kumueleza hivi juu ya kuweko kwake hapa Ujerumani wakati huu...