1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Sebastian Vettel

Sebastian Vettel ni dereva wa Formula One kutoka Ujerumani, kupitia kampuni ya mashindano ya Red Bull ya nchini Austria. Ndiye bingwa wa dunia kwa sasa, akiwa ameshinda ubingwa mwaka 2010, 2011, 2012, na 2013.

Tangu msimu wa mwaka 2007, Sebastian Vettel aliezaliwa mwaka 1987, amekuwmo katika mashindano ya Formula One, akivunja karibu kila rekodi ya kuwa mdogo zaidi: Dereva mdogo zaidi kushinda point ya ubingwa, wa kwanza kabisaa mdogo zaidi kuanzia katika nafasi ya mwanzo, mshindi mdogo zaidi wa mbio, bingwa mdogo zaidi, dereva mdogo zaidi kushinda mashindano mawili mfululizo, kisha matatu , na kisha manne.

Onesha makala zaidi