Maaskofu wawili wa Kimarekani watawazwa nchini Kenya | Masuala ya Jamii | DW | 31.08.2007
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Masuala ya Jamii

Maaskofu wawili wa Kimarekani watawazwa nchini Kenya

Askofu mkuu wa kanisa la Kianglikana nchini Kenya Benjamin Nzimbi amewatawaza maaskofu wawili wa Kimarekani kuwaongoza waumini walio na msimamo wa kupinga ushoga, usagaji na ndoa za jinsia moja.

Sherehe hiyo ya kutawazwa maaskofu hao ilifanyika katika kanisa katoliki la mjini Nairobi na ilihudhuriwa na mamia ya waumini.

Zainab Aziz alipata fura ya kuzungumza na askofu mkuu Benjamin Nzimbi.

Matangazo

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com