SiasaKumbukumbu ya Mfalme wa Wachagga Mangi Meli alieuawa na WajerumaniTo play this audio please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 videoSiasaHarrison Mwilima27.03.202027 Machi 2020Makala ya Sura ya Ujerumani leo hii inakupeleka mjini Moshi nchini Tanzania, ambapo sherehe za kumkumbuka kiongozi wa wachagga, Mangi Meli, aliyeuliwa kwa kunyongwa na kisha kukatwa kichwa na wajerumani katika kipindi cha ukoloni, zilifanyika. https://p.dw.com/p/3a8GpMatangazo