Kongamano juu ya uwekezaji Afrika Mashariki | Masuala ya Jamii | DW | 29.07.2009
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Masuala ya Jamii

Kongamano juu ya uwekezaji Afrika Mashariki

Kongamano la Pili la Kiuchumi lililoandaliwa na Jumuiya ya Afrika Mashariki limeanza leo mjini Nairobi.

default

Jiji la Nairobi kunakofanyika kongamano la uwekezaji

Kongamano hilo la siku tatu lililofunguliwa na Marais wa Jumuiya hiyo linahudhuriwa na zaidi ya wajumbe elfu moja wakiwemo wawekezaji na wanabiashara kutoka Afrika, Ulaya na Marekani. Mkutano huo ambao ni wa pili kufanyika tangu jumuiya hiyo ifufuliwe ni kuwahamasisha wawekezaji juu ya nafasi zilizopo za uwekezaji katika eneo zima la Afrika Mashariki na kutafuta mbinu za kukabiliana na hali ngumu ya kiuchumi inayoshuhudiwa kote Duniani. Mwandishi wetu kutoka Nairobi Alfred Kiti ametuandalia taarifa ifuatayo. Mtayarishaji:Alfred Kiti Mpitiaji:Othman Miraji

Sauti na Vidio Kuhusu Mada

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com