Kinagaubaga: Miaka 30 ya utawala wa Museveni | Mada zote | DW | 26.01.2016
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

IDHAA YA KISWAHILI

Kinagaubaga: Miaka 30 ya utawala wa Museveni

Tarehe 29 Januari 1986, Yoweri Kaguta Museveni alianza rasmi kushikilia urais wa Uganda na tangu hapo amekuwa kiongozi pekee wa Afrika ya Mashariki aliyekaa madarakani kwa muda mrefu zaidi, huku akiwania tena muhula mwengine kwenye uchaguzi wa Februari 18. Wafuasi wake wanasema anastahiki kwa kuwa amefanikiwa kuitulizanisha nchi hiyo iliyokuwa ikikabiliwa na mapinduzi ya mara kwa mara.

Sikiliza sauti 09:49
Sasa moja kwa moja
dakika (0)