Kikao cha viongozi wa Umoja wa Afrika waendelea Kampala | Wafanyakazi wa Idhaa ya Kiswahili | DW | 26.07.2010
 1. Inhalt
 2. Navigation
 3. Weitere Inhalte
 4. Metanavigation
 5. Suche
 6. Choose from 30 Languages
Matangazo

Timu Yetu

Kikao cha viongozi wa Umoja wa Afrika waendelea Kampala

Miongoni mwa mada zinazojadiliwa ni afya ya akina mama wajazito

Rais wa Uganda, Yoweri Museveni, mwenyeji wa mkutano

Rais wa Uganda, Yoweri Museveni, mwenyeji wa mkutano

Kikao cha marais wa nchi za Umoja wa Afrika kinaendela mjini Kampala,, Uganda. Leo, marais wanatilia mkazo mada ya mkutano huo ambayo ni afya ya akina mama wajawazito na watoto wachanga kinyume na hapo awali ambapo mikutano iliyotangulia ya mawaziri wa mambo ya nchi za nje wa Umoja wa Afrika ilikiuka mada ya mkutano na kutilia maanani sana suala zito lililojitokeza la usalama.

Mwandishi wetu kutoka Kampala Leyla Ndinda ametutumia ripoti ifuatayo.

Mwandishi, Leyla Ndinda

Mpitiaji, Peter Moss

Mhariri, Josephat Charo

Sauti na Vidio Kuhusu Mada

 • Tarehe 26.07.2010
 • Mwandishi Josephat Nyiro Charo
 • Chapisha Chapisha ukurasa huu
 • Kiungo https://p.dw.com/p/OUiS
 • Tarehe 26.07.2010
 • Mwandishi Josephat Nyiro Charo
 • Chapisha Chapisha ukurasa huu
 • Kiungo https://p.dw.com/p/OUiS
Matangazo

Sikiliza Matangazo Yetu

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com