Kenya yaombwa kutowarejeshwa kwao wakimbizi wa kisomali
31 Machi 2011Matangazo
Shirika hilo limeitaka Kenya kukoma mara moja na hatua hiyo ya kuwatimua wasomalia walioko kwenye kambi za wakimbizi nchini Kenya Saumu Mwasimba amezungumza na mtafiti wa shirika hilo anayehusika na kitengo cha Afrika Ben Rawlence na kwanza ameanza kuthibitisha juu ya hatua hiyo ya Kenya.