Kansela Angela Merkel wa Ujerumani ziarani Kenya
11 Julai 2011Matangazo
Kansela Merkel ambaye pia atazitembelea nchi nyingine barani Afrika anatarajiwa kuwasili katika uwanja wa ndege wa Jomo Kenyatta, saa nne usiku hii leo.
Kutoka Nairobi mwandishi wetu Alfred Kiti ametutumia taarifa zaidi.
Mwandishi Alfred Kiti
Mhariri Yusuf Saumu