1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Historia ya Ujerumani Dar es Salaam

Iddi Ssessanga
21 Desemba 2018

Katika mfululizo wetu kuhusu historia ya Ujerumani Afrika Mashariki,leo tunautupia macho mkoa wa Dar es Salaam kuangazia urithi waliouacha wakoloni wa Kijerumani, miaka 100 tangu waliposhindwa katika Vita ya Kwanza ya Dunia na kunyang'anywa makoloni yao yote. Ripota wetu Yakub Talib aliandaa vidio hii.

https://p.dw.com/p/3AUGw