Hali ya Mafuriko nchini Tanzania
22 Desemba 2011Matangazo
Kulingana na shirika la hali ya hewa nchini humo mvua hiyo kubwa inatabiriwa kuendelea kunyesha kwa siku tatu zijazo. Hata hivyo tayari serikali huko imefanikiwa kuwaokoa baadhi ya walikokwama na kuwahifashi katika maeneo yalio salama.
Amina abubakary amezungumza na Said Meck Sadiq mkuu wa mkoa wa dar es salaam na mwanzo anaelezea hali ilivyo.
Mwandishi Amina Abubakar
Mhariri Mohammed Abdulrahman