1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Smartphone

Smartphone ni simu ya mkononi inayojumlisha sifa za simu ya kawaida na computer.

Smartphone siyo tu zinaruhusu mazungumzo ya kwenye simu na utumaji wa ujumbe wa kimaandishi, zinaweza pia kutumika kuchukuwa picha za mnato na vidio, kurambaza mtandao na kucheza muziki na vidio - miongoni mwa mifano michache tu. Simu za kisasa za Smartphone zinaweza kutumiwa kwa kuweka kidole kwenye kioo cha simu.

Onesha makala zaidi