Hali nchini Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo baada ya wa Uchaguzi
25 Oktoba 2007Matangazo
Mojawapo ya Programu ya Civic ya wizara ya mambo ya nje kwa ushirikiano na shirika la misaada la Oxfam iliundwa katika zaidi ya nchi 50, Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo ikiwa miongoni mwa nchi hizo.
Wageni watatu kutoka kongo waluihudhuria mjadala kuhusu maendeleo uliofanyika mjini Berlin na walieleza matatizo yanayowakabili katika kujenga hali ya uelewano kati ya wanavijiji wa jimbo la Manyema kusini mashariki mwa Kongo.
Mwandishi wetu wa mjini Berlin Petra Stein ametuandalia ripoti ifuatayo.