Bei ya Umeme nchini Tanzania | Masuala ya Jamii | DW | 16.08.2011
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Masuala ya Jamii

Bei ya Umeme nchini Tanzania

Huko Tanzania maisha ya wananchi yameendelea kukabiliwa na changamoto kutokana na mgao wa umeme na kupanda kwa bei za nishati.

default

Watanzania wakabiliwa na shida ya umeme.

Je watanzania wenyewe wanasema nini kuhusu hali hiyo? Haya ni baadhi ya maoni yao!

Mwandishi: Josephat Charo

Mhariri:Mohammed Abdul-Rahman

Sauti na Vidio Kuhusu Mada

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com