1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

AU na pendekezo kuwa na Serikali moja kwa bara lote la Afrika

30 Mei 2007

Mjadala umeanza katika nchi zote wanachama wa Umoja wa Afrika Mashariki kuhusu pendekezo la kuundwa serikali ya umoja huo.

https://p.dw.com/p/CHDV
Kikao cha Umoja wa Afrika mjini Addis Abeba
Kikao cha Umoja wa Afrika mjini Addis AbebaPicha: picture-alliance/ dpa

Mjadala huu una lengo la kupata maoni ya jumuiya huria asasi mbali mbali za kiserikali na zisizo za kiserikali wasomi na vikundi mbali mbali vya wadau katika suala hili.

Zaidi anaripoti mwandishi wetu Anaclet Rwegayura kutoka Addis Abeba.