Afya ya Mwanamuziki maarufu Tabu Ley wa DRC si nzuri | Masuala ya Jamii | DW | 23.07.2008
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Masuala ya Jamii

Afya ya Mwanamuziki maarufu Tabu Ley wa DRC si nzuri

Taarifa iliotufikia kutoka Kinshasa inaelezea kwamba Mwanamuziki wa Kongo TabuLey ROCHEREAU yuko katika hali mahututi baada ya kupatwa na mshtuko wa moyo siku tatu zilizopita.

Hali hiyo imemfika wiki moja tuu baada ya kutunukiwa tuzo la mwanamuziki bora wa karne kutoka Afrika na CARIBBEAN kufuatia tamasha kubwa lililofanyika nchini CUBA Latin Amerika.


Taarifa kamili na mwandishi wetu Saleh Mwanamilongo.

Matangazo

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com