1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Siemens

Siemens AG ni kampuni ya kimataifa ya Ujerumani na ndiyo kampuni kubwa zaidi ya uhandisi barani Ulaya. Siemens na matawi yake wanaajiri karibu watu 360,000 katika mataifa karibu 190.