1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

23.09.2018- Matangazo ya Mchana Saa 7:00 (Afrika Mashariki)

SK2 / S02S23 Septemba 2018

Familia za watu waliokufa katika ziwa Victoria nchini Tanzania kufuatia ajali ya kivuko cha MV Nyerere zinafanya maandalizi ya mazishi.// Rais wa Iran Hassan Rouhani, amesema Marekani inataka kusababisha ukosefu wa usalama katika Jamhuri hiyo ya Kiislamu. // Jeshi la Israel, limewaambia wakaazi wa kijiji cha Ukingo wa Magharibi kuondoka, kabla ya nyumba zao kuanza kubomolewa Oktoba 1.

https://p.dw.com/p/35MO1