1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

19.03.2017: Matangazo ya asubuhi

Isaac Gamba
19 Machi 2017

Tuliyo nayo ni pamoja na : Nchi zilizoendelea zaidi kiviwanda za G-20 zashindwa kufikia msimamo wa pamoja unaounga mkono biashara huru kimataifa// Rais wa Marekani Donald Trump aituhumu Ujerumani kuwa na deni kubwa kwa NATO//Mtu mmoja apigwa risasi na kuuawa katika uwanja wa ndege mjini Paris.

https://p.dw.com/p/2ZUiZ