1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

09.08.2018 Asubuhi: Taarifa ya habari za ulimwengu

9 Agosti 2018

Israel imefanya mashambulizi ya makombora katika Ukanda wa Gaza usiku wa kuamkia leo, na kuua watu watatu.// Marekani kuiwekea Urusi vikwazo, kufuatia jaribio lake la kutumia sumu kumuua jasusi wa zamani wa Urusi na bintiye nchini Uingereza.// Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo Joseph Kabila, amemchagua atakayekuwa mrithi wake katika uchaguzi ujao wa rais.

https://p.dw.com/p/32rli