Watu wenye ulemavu wa kutokuona wanakabiliwa na mazingira magumu nchini Kenya, ambako mara kadhaa wanajikuta wakilazimika kuishi maisha ya kidhalilifu ya kuwa ombaomba.
https://p.dw.com/p/Rlb8
Matangazo
Eric Ponda anaangalia jaala na majaaliwa ya maisha ya mtu mwenye ulemavu wa kuona nchini Kenya, ambako mara nyingi hujikuta akiishi kama raia wa daraja la chini kabisa.