Viongozi wa dini Tanzania watoa tamko la pamoja kupambana na Ukimwi | Masuala ya Jamii | DW | 23.08.2007
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Masuala ya Jamii

Viongozi wa dini Tanzania watoa tamko la pamoja kupambana na Ukimwi

Viongozi wa dini za Kiislamu na Kikristo nchini Tanzania wamekutana kwa siku mbili jijini Dar es Salaam kujadili jinsi ya kukabiliana na ugonjwa wa Ukimwi.

Tangazo la utumiaji wa Kondom

Tangazo la utumiaji wa Kondom

Viongozi hao walitoa tamko kwamba kwa kuwa ugonjwa wa Ukimwi haubagui dini,jinsia wala kabila wamelazimika kukaa pamoja kubuni mikakati ya kukabiliana nao kwa sababu unaathiri jamii nzima.

Mwandishi wetu Hawra Shamte anaripoti zaidi kutoka Dar es Salaam.

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com