1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Upinzani Tanzania wadai fidia kutoka Ujerumani

Bruce Amani
4 Mei 2018

Ziara yake ya Waziri wa Mambo ya Nje wa Ujerumani Tanzania imezua miito kutoka kwa upinzani ya kudai fidia kutoka Ujerumani kutokana na maovu yaliyofanywa wakati Ukoloni wao. Lakini Waziri wa Mambo ya Nchi za Nje wa Tanzania,ameikataa miito hiyo. DW imezungumza Hamidou Bobali ambaye ni mmoja wa wanaopigania kulipwa fidia.

https://p.dw.com/p/2xBtI