Ujerumani yachukua urais wa kupokezana wa Umoja wa UIaya | IDHAA YA KISWAHILI | DW | 01.07.2020
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

IDHAA YA KISWAHILI

Ujerumani yachukua urais wa kupokezana wa Umoja wa UIaya

Chini ya uongozi wa Kansela Angela Merkel, Ujerumani itashikilia wadhifa huo kwa muda wa miezi sita. Ujerumani itakuwa na jukumu la kuandaa na kusimamia mikutano baina ya wakuu wa serikali wa Umoja wa Ulaya na mawaziri, chini ya kauli mbiu ya “Pamoja kwa mustakabli wa Ulaya.”

Tazama vidio 01:11