1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Ujerumani kuisaidia Afrika Mashariki kupambana na corona

31 Machi 2020

Serikali ya Ujerumani imesema itatoa msaada wa vifaa tiba pamoja na kiasi cha fedha taslimu kwa mataifa ya Afrika mashariki, katika jitihada za kuongeza nguvu ya mapambano dhidi ya virusi vya Corona. Ripota wetu nchini Tanzania Hawa Bihoga amemhoji balozi wa Ujerumani nchini humo Regine Hess aliyesema kuwa kiasi cha Euro milioni moja na nusu zitatumiwa katika kukamilisha mpango huo.

https://p.dw.com/p/3aEc3