1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Tanzania yapeleka wauza madawa Marekani

4 Mei 2017

Mawakili wa mlanguzi sugu wa dawa za kulevya Ally Khatibu Haji almaarufu Shkuba na washukiwa wengine wawili, wamelalamikia namna wateja wao walivyosafirishwa katika mazingira ya kutatanisha kwenda Marekani.

https://p.dw.com/p/2cO6B
Madawa aina ya Heroin
Picha: picture-alliance/dpa/Bundeskriminalamt

J3.04.05.2017 Tanzanian drug dealers flown to US - MP3-Stereo

Nchini Marekani, washukiwa hao wanakabiliwa na mashitaka ya uuzaji wa madawa ya kulevya, wakati kulikuwa na kesi ya rufaa mahakamani inayopinga kuhamishwa kwao. DW imezungumza na mmoja wa mawakili wa washukiwa hao, Majura Magafu na kwanza anaelezea tatizo liko wapi.