Taarifa ya Habari za Ulimwengu. Asubuhi tarehe 16.10.2021 | IDHAA YA KISWAHILI | DW | 16.10.2021
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

IDHAA YA KISWAHILI

Taarifa ya Habari za Ulimwengu. Asubuhi tarehe 16.10.2021

VIDOKEZO: Polisi Uingereza kisa cha mbunge David Amess kuuawa ni kitendo cha kigaidi.// Kundi linalojiita Dola la Kiislamu IS ladai ndilo lilifanya shambulizi msikitini Afghanistan na kuua watu wasiopungua 41.// Na Rais wa Jamhuri ya Afrika ya Kati Faustin Touadera atangaza usitishaji vita dhidi ya waasi ili kuruhusu mazungumzo ya amani.

Sikiliza sauti 07:59