1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Taarifa ya habari za asubuhi. 17.01.2020

Tatu Karema
17 Januari 2020

Waziri wa mambo ya nje wa Ujerumani Heiko Maas asema jenerali wa Libya Khalifa Haftar amekubali kusitisha mapigano nchini Libya, mataifa matano yaliopoteza raia wao katika ajali ya ndege ya Ukraine yaitaka Iran kufidia familia za wahanga wa mkasa huo na vikao vitakavyoamua iwapo rais wa Marekani Donald Trump anapaswa kuondolewa afisini vyaanza katika bunge la seneti nchini Marekani. cue

https://p.dw.com/p/3WKrk