1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Heiko Maas

Heiko Josef Maas ni mwanasiasa wa Ujerumani na waziri wa mambo ya nje katika baraza la nne la kansela Angela Merkel, na alichukuwa wadhifa huo Machi 14, 2018. Ni mwanachama wa chama cha social Democratic SPD.

Maas alizaliwa Saarlouis kwenye familia ya Kikatoliki, na mwanasheria. Kabla ya kuteuliwa kwenye baraza la serikali kuu alikuwa anajihusisha katika siasa za jimbo la Saarland, alikohudumu kama waziri wa mazingira, nishati na usafiri (1998-1999), waziri wa uchumi, ajira na usafiri (2012-2013), na naibu waziri mkuu (2012 -2013).

Onesha makala zaidi