1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Libya

Libya iko katika kanda ya Maghreb ya Afrika Kaskazini na inapakana na Bahari ya Mediterrania. Tangu mwaka 2011, nchi hiyo imekumbwa na machafuko ya kisiasa.

Muammar Ghadafi alikuwa moja wa waliofanya njama ya kumpindua Mfalme wa Libya katika mapinduzi ya kijeshi ya mwaka 1969. Na yeye pia akapinduliwa wakati wa mapinduzi ya umma yaliyogeuka vita vya wenyewe kwa wenyewe mwaka 2011, ambamo waasi walisaidiwa na jumuiya ya kujihami NATO. Libya ina wakaazi milioni 6, mji wake mkuu na mkubwa zaidi ni Tripoli. Huu ndiyo mkusanyiko wa maudhui kuhusu Libya.

Onesha makala zaidi