1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Taarifa ya Habari, saa 12:00 (Afrika Mashariki)

30 Oktoba 2020

Upinzani Tanzania wapinga matokeo ya kura yanayoendelea kutangazwa na tume ya uchaguzi//Donald Trump na Joe Biden waonyesha misimamo tofauti ya kukabiliana na janga la corona katika kampeni huko Florida//Na Rais Emmanuel Macron asema Ufaransa itatuma majeshi kulinda makanisa na shule kufuatia shambulizi mjini Nice.

https://p.dw.com/p/3kd5P