1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Taarifa ya Habari Asubuhi 06.07.2020

Grace Kabogo
6 Julai 2020

Uhispania imeweka hatua mpya za kuzuia kusambaa kwa virusi vya corona kutokana na wimbi jipya la virusi hivyo // Serikali ya Libya inayoungwa mkono na Umoja wa Mataifa imelaani mashambulizi ya anga yaliyofanywa dhidi ya kambi muhimu ya jeshi la anga // Shirika la Nishati ya Atomiki la Iran, limesema kuwa kituo chake cha kurutubisha madini ya urani cha Natanz kimeharibiwa vibaya kwa moto

https://p.dw.com/p/3eq3I