Rais wa Marekani Donald Trump awasili nchini Japana katika ziara yake ya barani Asia. Maelfu waandamana mjini Bonn Ujerumani kupinga utumiaji wa makaa ya mawe kuelekea mkutano wa mabadiliko ya tabbia nchi. Wanawawafalme 10 wakamatwa nchini Saudi Arabia.