Serikali ya Kenya yatoa siku ya mwisho kwa wakimbizi wa ndani kondoka katika makambi | Masuala ya Jamii | DW | 09.10.2009
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages
Matangazo

Masuala ya Jamii

Serikali ya Kenya yatoa siku ya mwisho kwa wakimbizi wa ndani kondoka katika makambi

Nchini Kenya leo ni siku ya mwisho iliyotolewa na serikali,kwa wakimbizi wa ndani walioko katika makambi kuondoka katika maeneo hayo.

Wakimbizi waliokimbia makaazi yao baada ya uchaguzi mwaka 2007

Wakimbizi waliokimbia makaazi yao baada ya uchaguzi mwaka 2007

Wakimbizi hao waliyapoteza makaazi yao kufuatia ghasia zilizotokea punde baada ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2007. Jane Nyingi amezungumza kwa njia ya simu na mwenyekiti wa wakimbizi hao wa ndani Peter Kariuki na kwanza alitaka kujua wamejiandaa vipi kwa shughuli hii.

Sauti na Vidio Kuhusu Mada

Matangazo

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com