SEOUL:Korea ya Kaskazini kusaidiwa mchele na Korea ya Kusini | Habari za Ulimwengu | DW | 22.04.2007
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Habari za Ulimwengu

SEOUL:Korea ya Kaskazini kusaidiwa mchele na Korea ya Kusini

Korea ya kusini imekubali kuipa Korea ya Kaskazini tano mia 4 za mchele kuanzia mwezi ujao.

Lakini mchele huo utatolewa kama mkopo. Makubaliano hayo yamefikiwa baada ya mazungumzo baina ya wajumbe wa nchi hizo mbili za Korea juu ya ushirikiano wa kiuchumi.

Tamko lililotolewa baada ya mazungumzo hayo halikusema chochote juu ya tashi la Korea ya Kusini juu ya Korea ya Kaskazini kuanza kusimamisha mipango yake ya nyuklia.

Sikiliza Matangazo Yetu

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com