1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Safari ya timu ya soka ya wanawake Ujerumani

18 Septemba 2019

Timu ya soka ya taifa ya wanawake Ujerumani ni moja wapo ya vikosi vilivopata mafanikio makubwa ulimwenguni. Ni mabingwa mara mbili wa michuano ya dunia. Wameshinda mashindano ya 2003 na 2007. Na mabingwa mara nane wa michuano ya barani Ulaya. Lakini kama Lilian Mtono anavyoeleza safari yao haikuwa rahisi.

https://p.dw.com/p/3PmYR