1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Ukeketaji

Mila ya ukeketaji inahusisha kukatwa ama kuondoa kabisa sehemu ya nje ya uke, na kwenye matukio mabaya zaidi, eneo la wazi la uke, hushonwa.

Misingi ya kutekelezwa kwa mila hiyo hutofautiana kulingana na jamii, lakini kiini kinaelezwa kuwa ni kulinda matamanio ya mwanamke ya kujamiiana. Hata hivyo inaweza kusababisha matatizo ya kisaiolojia, pamoja na matatizo makubwa wakati wa kujifungua.

Onesha makala zaidi