1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mtandao wa Mashirika 22 nchini Tanzania, watoa mapendekezo kuhusu ukeketaji

7 Februari 2023

Katika kuadhimisha Siku ya Kupinga ukeketaji duniani, Mtandao wa Mashirika yanayopinga ukeketaji nchini Tanzania, umetoa maadhimio kadhaa yanayoitaka serikali kusimamia kikamilifu sheria na kuwawajibisha wanaofanya vitendo hivyo hapa nchini, kwa mujibu wa sheria.

https://p.dw.com/p/4NCSI