Ripoti ya tume ya kitaifa ya kutetea haki za binadamu kuhusu mauaji ya watu wa wafuasi wa kundi la Mungiki nchini Kenya | Masuala ya Jamii | DW | 24.09.2008
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages
Matangazo

Masuala ya Jamii

Ripoti ya tume ya kitaifa ya kutetea haki za binadamu kuhusu mauaji ya watu wa wafuasi wa kundi la Mungiki nchini Kenya

Nchini Kenya Tume ya kitaifa ya kutetea haki za binadamu imechapisha ripoti ya mauaji ya watu wanaodaiwa kuwa wafuasi wa kundi lililopigwa marufuku la Mungiki.

Kundi la Mungiki lililotekeleza mauaji nchini Kenya

Kundi la Mungiki lililotekeleza mauaji nchini Kenya

Zaidi ya washukiwa 300 wanaripotiwa kuuawa kikatili kwa mujibu wa ripoti hiyo.Kikosi cha polisi nchini Kenya kimeshtumiwa vikali na ripoti hiyo ya Tume ya Kutetea haki za binadamu.Kundi la Mungiki lilipigwa marufuku baada ya kutekeleza mauaji ya kiholela nchini humo hivi karibuni.Polisi kwa upande wake umekanusha vikali madai ya ripoti hiyo.

Alfred Kiti kutoka Nairobi anaarifu zaidi.

Sauti na Vidio Kuhusu Mada

Matangazo

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com