Rais Yoweri Museveni wa Uganda azungumza na Waandishi wa habari mjini Kampala | Matukio ya Kisiasa | DW | 23.07.2007
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Matukio ya Kisiasa

Rais Yoweri Museveni wa Uganda azungumza na Waandishi wa habari mjini Kampala

Rais Yoweri Museveni wa Uganda amesema anaunga mkono mazungumzo yanayoendelea mjini Mogadishu,Somalia ya koo za kisomali kutafuta suluhisho la kudumu nchini humo.

Rais Yoweri Museveni wa Uganda

Rais Yoweri Museveni wa Uganda

Akizungumza na waandishi wa habari mwishoni mwa juma mjini Kampala, rais Museveni pia alizungumzia maswala mengine muhimu.

Mwandishi wetu Omar Mutasa anaripoti kutoka Kampala.

Matangazo

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com